Pages

Sunday, March 30, 2014

TAZAMA PICHA:: SHOW YA OMMY DIMPOZ ALIVYOWAPOTEZA WAARABU(MAUSTADHI NA MAUSTADHAT) HUKO MUSCAT.



Yes Kama kawaida  Tunakupa taarifa za burudani zote duniani na kama unafuatilia story za msanii Ommy Dimpoz utakuwa umeipata hii kuhusu show aliyofanya jana usiku pale Muscat Oman. Ommy alifanya live show na bendi yake ya PKP. Hizi picha na video kutoka kwenye show hio.



dimpoz 2 dimpoz 3 dimpoz
Hii Video Fupi Ya Watu Wakicheza muziki wa Ommy Dimpoz Kwenye Show Hio

No comments:

Post a Comment