Pages

Saturday, April 12, 2014

TAZAMA PICHA ZA MSANII JUX AKIWA CHINA AKITENGENEZA VIDEO YA WIMBO WAKE NITASUBILI

1Msanii Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya “nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo huo amemuimbia mpenzi wake (Jackie Cliff) anaedaiwa kufungwa gerezani China kwa ishu za dawa za kulevya.

Hizi ni picha za siku ya kwanza ya shooting hiyo huko China ambako ndiko alikofanya ile video ya ‘uzuri wako’ iliyotolewa kushiriki tuzo za KILI 2014 kutokana na kukiuka maadili ya Kitanzania.
2
3

No comments:

Post a Comment