Pages

Monday, April 7, 2014

PICHA ZA VICTORIA KIMANI AKISHOOT VIDEO YAKE MPYA

8a66ea58be0011e3946012c2eb42973d_8
Ingawa hajasema mpaka sasa anashoot video ya wimbo wake gani lakini kupitia account yake ya Instagram mwanadada Victoria Kimani msanii kutoka kule Naija yuko nchini Uganda akishoot video yake mpya. Hapa nimeona niwaonjeshe kidogo picha hizi ili kupata hata mwangaza ukiwa kama shabiki wake na mdau wa mziki wake.CHANZO DJ CHOKA

8e3801dcbe3011e395680002c9dc5df0_8 31dc2826be3211e3b71b0002c9e04a24_8 67f78cd8be0111e3b0681227bc1b071f_8 bfb5e6d2be3211e38e1d0002c950d28c_8 f4216b2abe2e11e3a25e0002c9d5e596_8 f617024cbe3211e3ae6212eb2b79fb3d_8 fc935f94be2d11e380540002c9dc1b36_8

No comments:

Post a Comment