Pages

Saturday, May 31, 2014

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY

 Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.
  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
 Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
 Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.
 Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka
 Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.
 Mashabiki kutoka jirani zetu Kenya nao wakipata picha na Prezidaa Diamond Plutnumz walipofika kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Madancer wa Diamond wakiwa na Prezdaa ndani ya mgahawa wa Safari Washington, DC.
 Mtasha wa Kimarekani aliyewahi tembelea Tanzania nae hakuwa nyuma kupata picha na Diamond ndani ya mgahawa wa Safari ulipo Washington, DC
 Shabiki akiwa na furaha kupata ukodak na Rais wa Wasafi Diamond Plutnumz
 Diamond akiwa na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Shabiki wa Diamond hakuwa nyuma katika kupata ukodak wa kumbukumbu.
 Shabiki wa Diamond akipata picha ya pamoja na Prezedaa wa Wasafi.
 Shabiki kutoka kwa jirani zetu nae akipata picha huku akijaribu kupata picha kwenye simu yake.
 Dj Romy Jons akipata picha ya pamoja na mashabiki kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Shabiki katika picha ya pamoja na Diamond.
 Shabiki na Diamond katika picha ya pamoja.
 Shabiki akipozi kwa picha na Diamond.
Shabiki akipozi kwa ukodak moment na Diamond.

Wednesday, May 28, 2014

Friday, May 16, 2014

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW LONDON JUMAMOSI HII 17 MAY 2014


Hey watu wangu wa London Diamond Platnumz pamoja na team yake nzima ya Wasafi wakisindikizwa na Ommy Dimpoz watakuwa na show Jumamosi hii pale pale Oasis Barking, alipokuwa afanyie last week. Kingilio ni £20 only karibuni tusupport wakwetu. Kama unahitaji ticket tuwasiliane inbox au whatsapp 07557304940/ 07473494441 / 07789725676 (business only please).
Confirmed @diamondplatnumz will be live in London this Saturday, alongside his full @wcb_wasafi crew for one Show Only This Sat 17thMay @The Oasis 6 Thames Road Barking London IG11 0HZ ##Supported By @ommydimpoz Tickets Available Now £20 contact me or Holla 07473494441 / 07789725676. How can u miss this. Come & see our award winning superstars doing what they do best. @ommydimpoz will launch his brand new video on the night.
Watu wangu wa UK mnaotaka kushine na t-shirt za WCB just like us tuwasiliane. Ziko chache sana just for £15 p+p or £10 kama utachukua toka kwangu tukionana you join the @wcb_wasafi family. Kuna rangi tofauti tofauti. Whatsapp on 07577304940 (business only please).



Wednesday, May 7, 2014

BAADA YA KUCHUKUA TUZO 7 SASA MSANII DIAMOND KUPIGA SHOW KALI NDANI YA UINGEREZA TAR 10.05.2014



Usikose tarehe 10/05/14 mwanamziki Diamond Platinum atakuwa hapa UK akitumbuiza//// The Oasis Banqueting Hall, 6-8 Thames Rd, Barking (off River rd) IG11 0HZ//// amazing place=== good atmosphere///// kwa Mara ya kwanza ataimba baada ya kunyakuwa 7 Kili award/// akishirikiana na Kriss Darling na Fully Focus:::::: usisubiri kuambiwa njoo ujionee mwenyewe!!! Ticketi available nunua sasa upunguze kulipa more on da door!!! Inbox me for advance ticket 

Tuesday, May 6, 2014

TAZAMA PICHA 10 ZA LUPITA NYONG'O AKIVALIA MTINDO WA VAZI LA MIAKA YA 1920's WAKATI WA MET GALA NEW YORK CITY.

 


A dream in green? Lupita's Prada ensemble certainly stood out from the some of the more safer fashion choices on Monday
A dream in green? Lupita's Prada ensemble certainly stood out from the some of the more safer fashion choices on Monday

Making an entrance: It was unclear if other A-listers were green with envy over Lupita's interesting Prada gown

Emerald city: Lupita also stood out wearing 1920s style flapper headband as she posed at the glitzy event on Monday

Star quality: Lupita beamed with a smile as she arrived to crowds cheering for her
Personal favourite: Lupita was also dressed by Prada at this year's Oscars - where she won Best Supporting Actress - in a powder blue gown
Personal favourite: Lupita was also dressed by Prada at this year's Oscars - where she won Best Supporting Actress - in a powder blue gown


Facing the crowds: Lupita's dress certainly got fashion critics talking on Twitter

TAZAMA JINSI JAY-Z NA BEYONCE WALIVYOKUWA WANAINGIA KATIKA MET GALA NEW YORK CITY NA MAPENZI MOTO MOTO.



Drunk in love: Beyonce looked amazing in her low-cut beaded Givenchy couture dress and veiled headpiece and was joined by her husband Jay Z
Drunk in love: Beyonce looked amazing in her low-cut beaded Givenchy couture dress and veiled headpiece and was joined by her husband Jay Z
Drunk in love: Beyonce looked amazing in her
low-cut beaded Givenchy couture dress and veiled headpiece and was
joined by her husband Jay Z



An attendant helps the superstar with the lengthy trail of her Givenchy Haute Couture gown before she attempted to climb the stairs
An attendant helps the superstar with the
lengthy trail of her Givenchy Haute Couture gown before she attempted to
climb the stairs

Who said romance is dead? Jay Z whipped out some chivalrous moves for his Beyonce who was dressed in Givenchy

What a gent: Bey lost her ring but luckily her eagle-eyed husband saw the gem
Who said romance is dead? Jay Z whipped out some chivalrous moves for his Beyonce who was dressed in Givenchy

Daily Mail