Pages

Wednesday, May 7, 2014

BAADA YA KUCHUKUA TUZO 7 SASA MSANII DIAMOND KUPIGA SHOW KALI NDANI YA UINGEREZA TAR 10.05.2014



Usikose tarehe 10/05/14 mwanamziki Diamond Platinum atakuwa hapa UK akitumbuiza//// The Oasis Banqueting Hall, 6-8 Thames Rd, Barking (off River rd) IG11 0HZ//// amazing place=== good atmosphere///// kwa Mara ya kwanza ataimba baada ya kunyakuwa 7 Kili award/// akishirikiana na Kriss Darling na Fully Focus:::::: usisubiri kuambiwa njoo ujionee mwenyewe!!! Ticketi available nunua sasa upunguze kulipa more on da door!!! Inbox me for advance ticket 

No comments:

Post a Comment