Pages

Sunday, September 21, 2014

BIG BROTHER AFRICA YAPUNGUZWA MDA WA SHINDANO KUTOKA MIEZI 3 MPAKA 2,SOMA TAARIFA HAPA

Mashabiki wa reality show ya Big Brother Africa mwaka huu watakuwa na muda mfupi zaidi wa kupata burudani ya kipindi hicho, baada ya siku za washiriki kukaa kwenye mjengo wa Biggie kupunguzwa kutoka 91 kama ilivyokuwa miaka mingine hadi siku 63.
Hotshots_NL
Huenda kupunguzwa kwa siku kumketokana na BBA Hotshots kuchelewa kuanza baada ya nyumba iliyokuwa imeandaliwa kuungua moto September 2, na kusababisha kuahirishwa kwa uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika September 7 na sasa utafanyika October 5.
Hii ni sehemu ya habari inayotaja siku 63 za shindano la mwaka huu iliyoandikwa kwenye website maalum ya Big Brother Hot Shots.

“Big Brother Africa returns to the continent’s television screens, a little later, a lot better and definitely hotter! Big Brother HotShots is going to dish out drama, more entertainment than you can handle and most importantly a cool USD300 000 to the housemate who will manage to survive 63 days in Biggie’s house“.

Isome hapa taarifa hiyo.

MSANII CASSIM MAGANGA AWAPA BURUDANI WATANZANIA WAISHIO MAREKANI,WAZIRI NYALANDU AFURAHISHWA NA SHOW KALI

Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria.
Waziri Nyalandu (kustoto)Kassim Mganga (katikati) pamoja na mama Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula
“Asante mama Ribelata Mulamula ,balozi wa Tanzania Marekani,asante Muheshimu Razalo Nyalandu..it waz big thing….pamoja tumefanikisha..Tanzania mbele daima,” ameandika Cassim kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Kassim akiwa na wadau mbalimbali akitoa burudani Cassim akiwa na wadau mbalimbali akitoa burudani 10247380_969072093149159_3712968386863153285_n
10418901_969073816482320_2844735746331208539_n
10646922_969021246487577_30920273616524500_n
10653673_969078026481899_2758077828535819805_n
10666101_688464931230829_553417570_n
Picha KWA hisani ya mitandao