MSANII CASSIM MAGANGA AWAPA BURUDANI WATANZANIA WAISHIO MAREKANI,WAZIRI NYALANDU AFURAHISHWA NA SHOW KALI
Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria. Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula “Asante mama Ribelata Mulamula ,balozi wa Tanzania Marekani,asante Muheshimu Razalo Nyalandu..it waz big thing….pamoja tumefanikisha..Tanzania mbele daima,” ameandika Cassim kwenye ukurasa wake wa Facebook. Cassim akiwa na wadau mbalimbali akitoa burudani Picha KWA hisani ya mitandao
No comments:
Post a Comment